Kutana na visiwa vingine 10 vyenye mvuto zaidi duniani. >>> Pichaz!
Kuna visiwa vingi sana duniani vizuri na venye mvuto vinavyo ungana na bahari, na kwa baadhi za sehemu dunia kama Finland hufahamika kuwa na visiwa visivyopungua 180,000.
Lakini hapa chini nimekusogezea picha za
visiwa 10 venye mvuto zaidi duniani. Visiwa hivi vimetajwa kuwa visiwa
kumi bora venye mvuto zaidi duniani kutokana na orodha iliyotolewa na World’s Best Islands List.
Kisiwa hiki kinaitwa Galapages Islands (Ecuador) ni miongoni mwa visiwa vinavyopendwa zaidi na watalii duniani.
Kisiwahiki kinaitwa Malta na ni kisiwa pekee kisichokuwa na mchanga wala miti, chenyewe kimezungukwa na mawe tu.
Great Barrier Reef Islands kutoka Austrlia nacho kimetajwa, kisiwa hiki kina zaidi ya samaki 400 wa jamii tofauti.
Hiki pia ni kisiwa kingine kutoka Hawaii kinaitwa Maui, nacho kipo kwenye orodha ya visiwa venye mvuto zaidi duniani.
No comments:
Post a Comment