Breaking News: Mgombea mwenza wa CCM huyu hapa…
Leo safari ya Tanzania kumpata Rais
atakayewaongoza Watanzania kwa miaka 10 ijayo imeanza rasmi na CCM
kupitia kwa Halmashauri kuu ya CCM imemchagua DK. John Magufuli kuwania nafasi hiyo.
Baada ya ushindi huo, Magufuli alitoa
shukrani zake kwa wote waliofanikisha ushindi wake na kisha akamteua
aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Katiba lililomalizika hivi
karibuni Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea mwenza.
No comments:
Post a Comment