Ndege inayotumia nguvu za jua yavunja rikodi
e
Ndege
inayotumia umeme wa jua imetua mjini Hawaii baada ya kuweka historia ya
kuruka kilomita 7,200 katika eneo la pacific kutoka Japan.
Rubani Andre Borschberg aliishusha ndege hiyo polepole katika uwanja wa ndege wa Kalaeloa.
No comments:
Post a Comment