Maofisa polisi na Usalama wa Taifa wakiwa katika msiba wa watu 8 waliochinjwa juzi usiku na watu wanaodhaniwa kuwa majambazi.
Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni(kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martin
Shigella (kulia) wakiwasili kitongoji cha Mabatini kata ya Mzizima Amboni
Tanga, kwenda ktoa pole kwa wafiwa wa tukio la mauaji ya watu 8 waliouwawa na
majambazi usiku wa juzi.
Naibu Waziri wa mambo ya ndani, Hamadi Masauni , akiwafariji wafiwa wa ndugu wa watu nane waliochinjwa na majambazi juzi usiku alipofika kitongoji cha Mabatini kata ya Mzizima Amboni Tanga leo.
No comments:
Post a Comment