Wanafunzi wa shule ya awali ya
Mkwakwani halmashauri ya jiji la Tanga wakipata uji muda wa mapumziko shuleni
hapo.
Huduma ya bupatikanaji uji mashuleni baadhi ya shule zimekuwa hazina hivyo kudaiwa kuwa chanzo cha kutofanya vizuri kwa mwanafunzi darasani.
Jambo hili limekuwa la furaha kwa wanafunzi na kuelezwa kuwa inaongeza chachu ya uelewa darsani.
No comments:
Post a Comment