SportPesa ya Kenya kudhamini klabu ya EPL
Kampuni ya mashindano ya bahati nasibu
inayodhamini Ligi Kuu ya Kenya imetia saini mkataba wa kuwa mdhamini wa
klabu ya Hull City ya Uingereza.Kampuni hiyo ya SportPesa,
ambayo huandaa mashindano ya kubashiri matokeo ya mechi nchini Kenya,
imetia saini mkataba wa kudhamini Hull City kwa misimu mitatu
Klabu ya Hull City ilifanikiwa kurejea kwenye Ligi ya Premia msimu utakaoanza mwezi ujao.
No comments:
Post a Comment