
Kutoka
Bujumbura Burundi taarifa za sasa ni kwamba raia wameamriwa kutotoka
nje, milio ya risasi inasikika, Wanajeshi watiifu wa Rais wanapambana na
waliompindua.
Kingine ni kwamba kituo binafsi cha Radio
kilichotumika kutangaza mapinduzi ya Kijeshi kimechomwa moto saa tisa
usiku wa kuamkia leo na Wanajeshi wanaomtii Rais, taarifa nyingine
kutoka Burundi utazisikia
Usiwe mbali nami nitakutarifu kila kinachotokea hapa hapa tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment