KISA MAYWEATHER VS PACQUIAO, ANGALIA NDEGE ZA MABILIONEA ZILIVYOJAZANA UWANJANI

Burudani
ni kwamba kwenye Uwanja wa Ndege wa Las Vegas linapopigwa pambano hilo,
zimejazana ndege ile mbaya.Ndege za matajiri hao, hadi imelazimika
ziegeshwe kwa utaratibu usio sahihi kwa kuwa ziko nyingi ile mbaya.Ila
imeelezwa wengi wao wanaondoka baada ya mechi hiyo asubuhi ya kurejea
sehemu mbalimbali duniani.
No comments:
Post a Comment