Dk.Kanye West, Kim Kardashian kurudia viapo vya ndoa!!
Wawili hao ambao kwa sasa wana mtoto mmoja aitwaye North West wamepanga kuhitimisha siku hiyo kwa kurudia viapo vya ndoa yao katika mnara wa Eiffel uliopo jijini Paris, Ufaransa.
Mnara wa Eiffel uliopo jijini Paris
Kanye ambaye
kwa sasa anajulikana kwa jina la Dk. Kanye West amepanga kufanya kitu
cha tofauti katika siku yao hiyo muhimu ambayo itahudhuriwa na watu wa
karibu zaidi ambao ni wanafamilia.
No comments:
Post a Comment