Kerry aitaka China kupunguza misukosuko
Waziri wa mashauri ya kigeni wa Marekani John Kerry amezumgumzia
misukosuko inayozidi kuongezeka kusini mwa bahari ya China alipokutana
na viongozi wa vyeo vya juu wa chama cha Kikomisti mjini Beijing.
Ameitaka
China kuchukua hatua ili kupunguza misukosuko eneo hilo. Marekani
inasema kuwa China imejenga miradi ya ardhi ya karibu ekari 800 kwenye
visiwa vya Spratly mwaka mmoja uliopita.Nazo meli za jeshi la marekani zimekuwa zikipiga doria kwenye visiwa vya spatry ambavyo vinadaiwa na china na nchi zingne tano.
China inaamini kuwa Marekani inazichochea nchi za Asia kukabiliana nayo katika kudai maeneo ya bahari.
Hutopitwa na habari inayonifikia na niko tayari kukutumia muda na wakati wowote kupitia hapa hapa tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment