Kilichomkuta Gavana wa benki kuu Kenya baada ya kutangaza kwamba hajaoa…
Baada
ya kuulizwa na wabunge kwa nini mpaka sasa hajaoa Gavana huyo ambaye kwa
mwezi analipwa mshahara wa milioni 3 za Kenya ambazo kwa Tanzania
zinagonga kwenye 67737395 alisema ni chaguo lake kuwa peke yake kwa kuwa hajakiuka maadili ya jamii kwa njia yoyote ile.
Muda
mfupi baada ya kuweka hadharani kutokuwa na mke baadhi ya Wanawake
walimiminika kwenye mitandao ya kijamii kutaka kupata nafasi hiyo ya
kuolewa na Gavana na kama ilivyoripotiwa na Citizen TV Kenya.
No comments:
Post a Comment