Nimekusogezea mionekano kumi tofauti ya First Lady wa Marekani Michelle Obama >>> PICHAZ!
Michelle Obama first lady na mke wa rais Barack Obama wa Marekani anajulikana sana kwa kwenda na wakati, na ameshatajwa na magazeti mengi Marekani kama mwanamke anaejua kwenda na wakati pamoja na mitindo.
Kuna picha nyingi za first lady huyu kwenye mionekano tofauti akiwa amevaa nguo za style tofauti, lakini hapa nimekusogezea picha kumi tuu za mionekano tofauti ya first lady wa Marekani Michelle Obama.
9. Michelle Obama akiwa katika kipindi cha michezo na muziki kati ya moja ya shule alizozitembelea mwaka 2013.
10. Michelle Obama akiwa kama mmoja wa Mcee’s kwenye tuzo za watoto za Teen Choice Awards mwaka 2014.
No comments:
Post a Comment