TANGA KUMEKUCHA
Saturday, June 20, 2015
FUTARI MWEZI MTUKUFUWA WA RAMADHANI
Mfanyabiashara wa nafaka na chakula soko kuu la Ngamiani Tanga, Adam Bakary akipima tambi . Kipindi hiki cha mfungo wa mwezi mtukufu kwa Waislamu tambi hutumiwa kama moja ya futari. Kilo moja ya tambi ilikuwa ikiuzwa 2,000.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment