Benki kuu Tanzania imejibu kwanini sarafu mpya ya shilingi 500 haipo sana kwenye mzunguko

Kwenye
hii post tumeipata benki kuu ya Tanzania ambayo iko tayari kuzungumzia
ishu ya sarafu mpya ya shilingi mia tano kutoonekana sana kwenye
mzunguko wa fedha nchini Tanzania.
kubadilisha kutoka noti na kuleta sarafu ya shilingi mia
tano baada ya kuona noti hiyo inakuwemo kwenye mzunguko kwa muda mrefu
kuliko inavyotakiwa bila kurudishwa Benki hivyo inachakaa mno’

‘
Katika
zoezi hilo la kuibadilisha noti ya shilingi mia tano kuwa sarafu,
utakuta kwamba Benki kuu sehemu sehemu ambayo inaanza usambazaji ni
kwamba wanatoa pesa kwa benki za biashara na zinapokuja huwa tunawatolea
wachukue sarafu na noti lakini kwenye kipindi hiki benki hizi zimekua
hazichukui sana sarafu ya shilingi mia tano kama zinavyochukua noti, ila
sarafu hii ipo kabisa‘ –
Benki Kuu
Kwa habari, matukio na michezo ni hapa hapa tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment