Watu na nyumba zao… hii sio ya kifahari ila imenivutia sana!
Kwako mtu wangu unaependa nyumba, hii nyumba iko Poznan Poland ambapo kwa mvuto wake nina uhakika huwezi kukosa cha kuiga hata kama ni kochi, mapazia, sakafu, upangaji mzuri wa vitu kwa kufara rangi zinazoendana na ukuta, jiko linavyokuwa simple na vitu vingine mbalimbali.
No comments:
Post a Comment