Sunday, July 12, 2015

MATOKEO YA MWISHO YA CCM ,DODOMA HAYA HAPA

Kwenye watatu waliopitishwa Urais CCM matokeo ya mwisho ni haya hapa… #CCMDodoma


BREEE
July 12 2015 Tanzania ilikuwa inasubiri kwa hamu kujua Mgombea yupi anasimamishwa na CCM kwenye nafasi ya Urais 2015, ninayo Ripoti nyingine kutoka Dodoma sasahivi!!
Kura zimepigwa na Wajumbe wa Halmashauri Kuu CCM na matokeo yako hivi >>> John Pombe Magufuli 87%, Balozi Amina Ali 10% na Asha-Rose Migiro 3%.

No comments:

Post a Comment