Friday, July 10, 2015

TUNAWASHUKURU, GBP



 Mjumbe wa halmashauri kuu ya Taifa  CCM , Kassim Kisauji, akizungumza katika kikao cha wadau wa mafuta kilichofanyika katika bohari ya uagiziaji mafuta  kampuni  ya  GBP baada ya bandari ya Tanga kuanza kushusha shehena ya mafuta na  kampuni ya GBP kuanza kushusha tani 20,500.




 Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EURA), Felix Ngamlagosi, akizungumza na waandishi wa habari jana baada ya bandari ya Tanga kuanza kushusha  mafuta baada ya kampuni  uagiziaji wa mafuta ya GBP kuanza  kushusha tani 20,500.


No comments:

Post a Comment