Zisikupite na hizi treni za kifahari zaidi kutumika duniani, Afrika ziko mbili…Pichaz
Kati ya usafiri unaoamini zaidi kutumika na pia hutumiwa na watu
wengi zaidi ni treni..miaka ya sasa safari za treni zimeimarishwa zaidi
hasa kwa nchi zilizoendelea.
Kwa nchi za wenzatu treni zimekuwa zikitumiwa kama usafiri wa
daladala kutoka kituo kimoja kwenda kingine na nyingi zinazotumika ni
zile zinazotumia umeme.
Hapa nimekuwekea hizi ytreni 10 ambazo ni za kifahari zaidi duniani.

Rovos Rail, ipo Afrika Africa na inafanya safari zake kati ya Pretoria na Cape Town

Venice-Simplon Orient Express-Inafanya safari zake kati ya London na Paris

The Ghan- Australia

The Eastern and Oriental, South-East- Asia

The Canadian- Canada

The Blue Train, South Africa

Iran Danube Express-Inafanya safari zake kati ya Bulgaria, Uturuki na Romania

The Maharajas’ Express, India

The Royal Scotsman- Scotland

Trans-Siberian Railway-Inafanya safari zake kati ya Moscow ,Beijing na Mongolia
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment