maajabu ya kipekee ya Daraja la Kioo juu ya Milima nchini China
Kutokana na ukuaji wa Teknolojia pamoja na kasi kubwa iliyopo Duniani kwenye soko la Ushindani na Ubunifu, kila siku tunaona ubunifu mkubwa sana ukichukua vichwa vya habari kubwa Duniani !!Kulikuwa na magari yanayotumia mafuta, zimekuja gari zinazotumia na nishati nyingine ikiwemo gari za umeme.. ikaja sasa badala ya kupokeza muda kuchaji gari, Uingereza wakaitambulisha teknolojia ya barabara zinazochaji gari za umeme… hiyo ni mfano tu wa Taarifa za kukua kwa teknolojia kwenye kasi kubwa sana Duniani.
Hapa nimekusogezea Daraja la kioo toka China Daraja limekamilika na lina urefu wa kama Mita 300 hivi ambazo kwa hesabu ya kawaida ni urefu wa viwanja vitatu vya mpira, yani kutoka goli mpaka goli alafu viwanja viwe vitatu
Unaambiwa kwamba upana wa kioo kilichotumika kwenye huu ujenzi kina kama Milimita 24 ambazo ni kama mara 25 ya upana wa kioo cha kawaida, kwa hiyo hakuna shaka kuhusu uimara na usalama wa Daraja lenyewe
Daraja hilo limejengwa kuunganisha sehemu ambayo ni juu ya Milima kwenye Hifadhi ya Shiniuzhai Park, ambayo iko kwenye Jimbo la Hunan, Kusini mwa China.
Visitors walk on the 180-meter-high and 300 meter-long glass-bottomed suspension bridge
300 meter-long glass-bottomed suspension bridge opens in the Shiniuzhai National Geopark in Pingjiang, China
Sehemu ya chini ambayo unaikanyaga unapovuka Daraja imetengenezwa kwa kioo kitupu Kama una tatizo la kizunguzungu hapo uwezi pita
Aerial view of the 180-meter-high and 300 meter-long glass-bottomed suspension bridge
300 meter-long glass-bottomed suspension bridge opens in the Shiniuzhai National Geopark in Pingjiang, China
No comments:
Post a Comment