Wednesday, July 6, 2016

SWALA YA IDD EL FITRI UWANJA WA TANGAMANO TANGA



Waumini wa Dini ya Kiislaam wakiswali Swala ya Idd El Fitri uwanja wa Tangamano Tanga Leo  ikiwa ni kumalizika kwa mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Waislamu Duniani kote Leo wanasherehekea Sikukuu ya Idd El Fitri kwa kumalizika kwa mfungo wa siku 29 za saumu ikiwa ni moja ya nguzo za Imani kwa Uislamu.
Swala hiyo iliyoswaliwa na kutolewa Khutba kwa Waislamu kufanya mema na kukatazana mabaya ili kesho Akhera mwanadamu aweze kukutana na Mola wake akiwa mja mwema.






No comments:

Post a Comment