Ndege ya abiria ikiyumba hivi angani hata mimi nitaogopa…. ikitua salama mnampigia Rubani makofi.
Kwenye baadhi ya nchi kuna kipindi fulani
huwa baadhi ya viwanja vya ndege vinawapa tabu ya kutua Marubani manake
upepo unakuwa mkali na wenye nguvu licha ya ndege zenyewe kuwa kubwa.
Kwa habari, matukio na michezo ni hapa hapa tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment