Monday, April 11, 2016

ANNE KILANGO ATUMBULIWA JIPU

RAIS DKT. MAGUFULI AMFUKUZA KAZI MKUU WA MKOA WA SHINYANGA, MAMA ANNE KILANGO MALECELA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, mchana huu ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mama Anna Kilango Malecella, kwa kubaini kuwa alimwambia uwongo kuwa Mkoa wake hauna wafanyakazi hewa.
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa Tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment