Wafanyabiashara wadogo wadogo maarufu kama Wamachinga wakitafuta wateja kupiia madirisha ya magari, wafanyabiashara wengi wamekuwa wakitapeliwa na wasafiri kwa kuchukua vitu na kutegea gari iondoke.
Hali hii imekuwa ikiwaliza wamachinga wengi kama alivyodai mmoja wa wafanyabiashara hao aliejitambulisha kwa jina la Shemahonge Shedaffa, ameiambia Tangakumekuchablog kuwa mtaji wake umekufa kwa kulizwa na wasafiri wa mabasi.
No comments:
Post a Comment