Tuesday, April 12, 2016

MVUA YAITESA TANGA, MAMIA WAYAKIMBIA MAKAZI YAO



Wakazi wa Makorora Commicenter Tanga, wakipita katika barabara iliyojaa maji kufuatia mvua kubwa ilinyosha jana zaidi ya masaa 8 na kusababisha baadhi ya huduma ya usafiri kusimama  pamoja na maduka muhimu ya chakula na dawa kufungwa ktokana na wengi kubakia majumbani..




  Mkazi wa Makorora kwa Makondoo Tanga  akitoka moja kati ya nyumba zilizozingirwa na maji kufuatia mvua kubwa iliyonyesha kwa zaidi ya masaa 8 leo.

Shule ya msingi ya Kombezi Tanga ikiwa imezingirwa na maji na vyumba vya madarasa kujaa maji kufuatia mvua mkubwa iliyonyesha jana kwa zaidi ya masaa 8 na wanafunzi kulazimika kurejea nyumbani kabla ya muda wa kutoka kufika.

No comments:

Post a Comment