Mshine feki za kuchezeshea kamari (Game body) zikiteketezwa
dampo la Duga Tanga baada ya
operesheni iliyofanywa kwa wiki moja na Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa Tanzania Game Body, Sadick Elims. Jumla ya mashine 50 zenye
thamani zaidi ya shilingi milioni 90 ziliteketezwa.
No comments:
Post a Comment