Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii
Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (katikati) akiangalia thamani za ndani za wafiwa
wa tukio la kuchinjwa watu nane kitongoji cha Kibatini kata ya Mzizima Tanga
lililofanywa na watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi zikiwa zimezagaa uwanjani
kijiji cha Corner Z kutoka Kibatini na
kufika kijijini hapo ambako hawana makazi rasmi ya kuishi.
Familia hizo ambazo zimeahidiwa Ummy Mwalimu, Adadi Rajab, Mbunge wa Pangani Awesso, kutaka kuanza ujengaji wa nyumba tatu mara moja ili kuweza kupata makazi na kusitiri watoto wao.
Familia hizo ambazo kwa sasa hazina pa kuishi na badala yake wamekuwa wakijibanza katika nyumba za watu na chini ya miti.
Familia hizo zimekihama kijiji chao kuogopa wauaji wanaosadikiwa kuwa majambazi kuwakusanya watu nane nje ya uwanja wa Mwenyekiti wa Kitongoji na kuwachinja mmoja mmoja na kutokomeza kusikojulikana.
Mwandishi wa Cluod TV, Tunu Lugombe, (mwnye T shert) akimfariji mmoja wa mhanga wa tukio la mumewe kuchinjwa.
Mwandishi wa habari , Chembea akimfariji mmoja wa mke aliepoteza amume wake katika tukio la mauaji ya watu 8
Mke aliekuwa Hassan Mkolla alieuwawa akiwa katika nyumba mmoja kijiji cha Kona Z alikohifadhiwa baada ya kukihama kijiji chao.
Mbunge wa Pangani Awesso, Adadi Rajab wa Muheza (kulia) na katikati Ummy Mwalimu wakiwa katika nyumba walikohifadhiwa wafiwa na wahanga wa tukio la mauaji Jumatu usiku wiki iliyipita.
Maeneo ambayo hupika chakula wahanga wa tukio la mauaji nje kama nyumba ambayo wamehifadhiwa.
Mtoto wa mmoja wa wahanga wa tukio la mauaji akipita kandokando ya vitanda, magodoro na thamani za ndani zikiwa zimezagaa uwanjani kijiji cha Corner Z kutoka kitongoji cha Kibatini walikohama na kufika kijiji hapo ambako hawana makazi rasmi ya kuishi
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment