Wakazi wa Tanga wakisherehekea
Sikukuu ya Idd El Fitri Beach ya Raskazone
ikiwa ni kumaliza mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani Leo.
Watu mbalimbali
kutoka kona mbalimbali za jiji la Tanga na nje ya jiji hilo kila vipindi
vya Sherehe za Sikukuu za Dini hufurika kwa kuogelea na kuburudika na
wenzao ikiwa ni kupongezana .
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment