Maambukizi ya kaswende na kisonono juu England
Visa vya kisonono navyo viliongezeka 53%, kutoka 26,880 hadi 41,193, takwimu za Afya ya Umma England zinaonesha.
Visa hivyo viliongezeka sana hasa miongoni mwa wanaume wanaoshiriki mapenzi na wanaume wenzao.
Visa vya kuwa na vidutu sehemu za siri hata hivyo vilishuka, jambo ambalo wataalamu wa afya wanasema huenda limchangiwa na utoaji chanjo
Maambukizi ya chlamydia ndiyo yaliyoshuhudiwa sana, karibu nusu ya visa vya maradhi ya zinaa vilivyoripotiwa mwaka 2015 vikitokana na viini hivyo.
Genevieve Edwards, afisa wa Marie Stopes UK, amesema takwimu hizo zinafaa kuwa kama tahadhari kuhusu upatikanaji wa huduma za afya ya uzazi kwa vijana na pia wanaume wanaofanya mapenzi na wanaume.
BBC
No comments:
Post a Comment