Mwakilishi wa kampuni ya Vodacom
Tanzania , Ali Khalid, akimpatia zawadi ya Sikukuu mtoto mkazi wa kijiji cha
Mpirani kata ya Pande Tanga wakati wa utoaji wa Sikukuu kwa Waislamu zaidi ya
kaya 50 zilipatiwa zawadi mbalimbali ukiwemo mchele, unga , mafuta , sukari na vitu mbalimbali vya Sikukuu ikiwa ni kumaliza mfungo wa
mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Kampuni ya Vodacom Tanzania Limited imekuwa na ada ya kutoa zawadi vipindi vya Sikukuu za dini ikiwa ni moja ya kumjali mteja.
Akizungumza wakati wa utoaji wa zawadi hizo kwa kaya zaidi ya 50 jana, Mwakilishi wa Vodacom, Ali Khalid alisema moja ya faida yake kampuni ya Vodacom inapeleka kwa mwananchi na utoaji wa misaada ya kibinadamu.
No comments:
Post a Comment