Uingereza yahamisha majasusi wake
Afisi
ya juu katika Serikali ya Uingereza imeiambia BBC kuwa ililazimu
majasusi wa Uingereza kuhamishwa kutokana na sababu kuwa Urusi na China
ziKIfanikiwa kupata taarifa za kisiri jinsi zinavyoendesha shughuli zake
zilizoibiwa na jasusi raia wa marekani Edward Snowden.
Edward Snowden ambaye ni mkandarasi wa zamani katika Shirika la Ujasusi la Marekani , aligonga vichwa vya habari miaka miwili iliyopita baada ya kifichua ujasusi wa mitandao na wa simu uliokuwa ukiendeshwa na Marekani na Uingereza. ambapokwa sasa anadaiwa kuishi Urusi..
Chanzo BBC
Kwa habari matukio na michezo ni hapa hapa tangakumekuchablog.
No comments:
Post a Comment