Daraja la Bombo njia ya Raskazone
Tanga likiwa limebomoka kufuatia mvua kubwa ilinyesha usiku wa jana na
kuhatarisha usalama wa watumiaji wa vyombo vya moto na wapiti kwa miguu.
Daraja hilo ambalo ndio njia ielekeayo hospitali ya Mkoa ya Bombo, Mkonge hostali pamoja na nyumba za viongozi wakubwa wa Serikali limekuwa hatarishi .
No comments:
Post a Comment