Muonekano wa jengo la Nassaco la zamani ambalo liliwahi kuungua moto na sasa linakarabatiwa.
Bandari ya sahare ikionekana kwa mbali ambayo imekuwa ikitegemea ushushaji wa samaki kwa wingi.
Sehemu ya bandari ya Tanga (TPA)
Jengo la kikosi cha Polisi Marine Tanga
Barabara ya Market Street katikati ya jiji la Tanga likiwa tupu leo Jumapili.
Barabara ya Jamaa Ngamiani ikiwa nyeupe leo Jumapili.
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa Tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment