Treni 11 za kifahari zaidi duniani, moja ilishawahi kuja Tanzania
on
Treni ya Rovos rail ambayo
utembea polepole na kuelekea maeneo mbalimbali ya vivutio vya nchi za
Afrika kama vile Afrika kusini, Zimbabwe, Namibia na Tanzania. Rovos rail ni
treni ya kifahari zaidi ambayo hufanya safari ndefu kwa siku kadhaa
usiku na mchana kwa sababu treni hiyo kamwe haisafiri zaidi ya kilometa
60 kwa saa, kwenye treni hiyo abiria wanaweza kufungua madirisha
nakupata hewa safi au kupiga picha.
Treni ya Rovos Rail
Treni ya Rovos rail sehemu ya ndani
- Seven star, ni treni ya kifahari zaidi Japan ambayo ina mabehewa saba ambayo yanachukua watu 30 kwenye siti 14.
2. Rocky Mountalneer, treni ya Canada ambayo hufanya safari mbalimbali Vancouver
Treni ya Rocky Mountalneer sehemu ya ndani
Treni ya Maharajas’ Express sehemu ya ndani
Sehemu ya chakula kwenye treni ya Golden Egle
6. Blue Train, hii hufanya safari za Pretoria-Cape town South Africa
sehemu ya ndani
8. The Ghan, hufanya safari zake kutoka Darwin kwenda Adelaide ambayo hupitia katikati ya Australia
Mgahawa unaopatikana ndani ya treni ya Ghan
Sehemu ya kulala inayopatikana ndani ya treni ya Canadian
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa Tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment