Mfanyabiashara maarufu wa uuzaji wa mwiko na pawa kwa ajili ya shughuli kubwa za Makharusy na Misiba Tanga ambaye jina lake halikuweza kupatikana, akitembeza kwa kutafuta wateja mitaa ya Usagara.
Ni ada kwa jamii kubwa wakiwa na shughuli za furaha ama huzuni kuandaa karamu ikiwa ni kuwakirimu wanaohudhuria kw akupikwa chakula na mwiko aina hii ya mchuuzi huyo huwa inatumika.
No comments:
Post a Comment