Sunday, June 12, 2016

BIASHARA TENDE (PICHA)



 Mfanyabiashara wa kuuza tende barabara ya 12 Ngamiani Tanga, Mohammed Said, akiwauzia  wateja, mwezi huu Mtukufuwa Ramadhani tende inatajwa kuwa moja ya Sunna kubwa ya kifungulio cha Saumu, Kilo moja ya tende ilikuwa ikiuzwa 5,000 na zile za pakiti zilikuwa zikiuzwa 3,000.





No comments:

Post a Comment