Mfanyabiashara wa matunda Mombo
Wilayani Korogwe Mkoani Tanga, Juma Makame, akipanga bidhaa zake kusubiri
wateja, wafanyabiashara hao wamelalamika kukosa soko na badala yake wamekuwa
wakitegemea wasafiri wa mabasi ya Mikoani kwa kuuza rejareja.
Mfanyabiashara wa matunda Mombo Wilayani Korogwe Mkoani Tanga, Hassan Omar, akisubiri wateja, wafanyabiashara hao wamelalamika kukosa soko la uhakika la kuuzia matunda yao na badala yake wamekuwa wakitegemea wasafiri wa mabasi yapitayo kwenda Mikoani na kuwauzia rejareja.
Wafanyabiashara wa matunda Mombo Wilayani Korogwe Mkoani Tanga, wakisubiri wateja, wafanyabiashara hao wanalalamika kukosa soko la kuuzia matunda yao na badala yake wamekuwa wakisubiri wateja wa mabasi yaendayo Mikoani na kuwauzia kwa bei ya hasara kuepuka kuwaozea mikononi.
Mfanyabiashara wa matunda Mombo Wilayani Korogwe Mkoani Tanga, Hassan Omar, akipanga matunda yake kusubiri wateja, wafanyabiashara hao wamelalamika kukosa soko la kuuzia matunda yao na badala yake wamekuwa wakisubiri wateja wa mabasi yaendayo Mikoni na kuwauzia kwa bei ya kutupa kuepuka kuwaozea mikononi.
No comments:
Post a Comment