Waziri
wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano,Proffesa Makame Mbarawa wa pili kutoka
kushoto akionyeshwa eneo litakalojengwa Bandari ya Mwambani na Kaimu
Meneja wa Bandari ya Tanga,Henry Arika wakati alipotembelea eneo la
Mwambani kunapotarajiwa kujengwa Bandariambapo alitembelea eneo hilo
kujionea namna lilivyo.
Waziri wa
Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano,Proffesa Makame Mbarawa katikati akiteta
jambo na Mkuu wa wilaya ya Tanga,Abdulla Lutavi wakati alipotembelea
eneo ambalo kutajengwa bandari mpya ya Mwambani kulia ni Kaimu Meneja wa
Bandari yaTanga,Henry Arika.
Kaimu
Meneja wa Bandari ya Tanga,Henry Arika kulia akisistiza jambo kwa Waziri
wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Proffesa Makame Mbarawa wakati
alipofanya ziara ya kutembelea Bandari hiyo kulia ni PRO wa TPA
Tanga,Moni Jarufu.
Waziri wa
Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Makame Mbarawa akisisitiza jambo kwa
Kaimu Meneja wa Bandari ya Tanga,Henry Arika wakati alipofanya ziara ya
kutembelea leo kuangalia namna
inayofanya kaz.
inayofanya kaz.
No comments:
Post a Comment