Wakazi wa Mazinde Tarafaya Mombo Wilayani Korogwe Mkoani Tanga, wakimsikiliza Mbunge wa jimbo la Korogwe Vijijini, Profesa Majimarefu wakati wa ziara yake ya kutembelea jimbo lake kuwashuikuru kwa kumchagua kwa mara ya pili
Wanawake Mazinde Tarafa ya Mombo Wilayani Korogwe Mkoani Tanga, wakizuia msafara wa Mbunge wa jimbo la Korogwe Vijkijini, Profesa Majimarefu kumtaka kuolirejesha soko la Mbuyuni na kuzuia kupelekwa eneo ambalo halina makazi ya watu na wateja ambako hawawezi kufika
No comments:
Post a Comment