Monday, March 7, 2016

MSIMU WA MACHUNGWA WAFANYABIASHARA WALALAMIKA


Wafanyabiashara wa machungwa kituo cha mabasi njia panda cha Segera Wilayani Handeni Mkoani Tanga, wakiwa wameyamwaga machungwa kusubiri wateja. Wafanyabiashara hao ambao wamekuwa wakitegemea soko la mtu mmoja mmoja wamekuwa wakilalamika kukosa soko la kupeleka  matunda yao na badala yake huuza kwa hasara kuogopa kuwaozeaa mikononi




No comments:

Post a Comment