Friday, April 8, 2016

BANDARINI SAHARE, TANGA



Kijana mkazi wa Makorora Tanga, Ali Juma, akipaa dagaa mchele alonunua kwa wavuvi bandari ya Sahare Tanga jana. Ndoo moja ya dagaa mcheze ilikuwa ikiuzwa 10,000, na kisadolini kimoja kilikuwa kikiuzwa kwa 2,000.






No comments:

Post a Comment