Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA ambaye pia ni Mkurugenzi wa Utalii na Masoko
Bw. Ibrahim Mussa (kulia) akiongea na Kaimu Mhifadhi Mkuu Hifadhi ya
Taifa ya Arusha Bi. Maria Kirombo (kati) na Mhifadhi wa Idara ya Ulinzi
Bw. Haima Hera muda mfupi kabla ya kuwasili kwa Kamati ya Kudumu ya
Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii kwa ziara fupi hifadhini hapo.
Kaimu
Mhifadhi Mkuu Hifadhi ya Taifa ya Arusha Bi. Maria Kirombo akitoa
maelezo mafupi kwa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi,
Maliasili na Utalii kabla ya kuanza kwa ziara fupi katika Hifadhi ya
Arusha.
Wajumbe
wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii ndani ya
basi dogo wakiangalia wanyama aina ya nyati wanaopatikana katika Hifadhi
ya Arusha.
Twiga watatu wakionesha mbwembwe zao mbele ya Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii.
Joseph Kasheku ‘Msukuma’ (kulia) na Shaban Shekilindi (Lushoto) wakiwa
na fuvu la mnyama nyati walilolikuta hifadhini hapo na kupiga nalo picha
na kisha kuliacha hapo hapo.
Naibu
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Ramo Makani (kushoto),Mhe. Joseph
Kasheku ‘Msukuma’, Mhe. Kemilembe Julius na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa
TANAPA Ibrahim Mussa katika picha ya pamoja.
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii walipowasili Hifadhi ya Taifa ya Arush
Naibu
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Ramo Makani akiongea na watumishi wa
Hifadhi ya Arusha mara baada ya kumalizika kwa ziara ya Kamati ya
Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii
No comments:
Post a Comment