Saturday, April 9, 2016

NWANKO KANU ATOA MBINU YA MAFANIKIO YA MPIRA NA KUCHEZA ULAYA

NWANKO KANU ASHIRIKI MAFUNZO NA WATOTO WA KITUO CHA JAKAYA KIKWETE

nw1
Mchezaji nyota wa zamani wa timu ya taifa ya Naijeria, Nwanko Kanu ambaye kwa sasa ni balozi wa makampuni ya StarTimes barani Afrika akiwaelekeza watoto katika mafunzo ya mpira wa miguu wakati alipotembelea katika kituo cha michezo ya Jakaya Kikwete kilichopo Kidongo Chekundu jijini Dar es salaam.
nw2

nw3
Mchezaji nyota wa zamani wa timu ya taifa ya Naijeria, Nwanko Kanu ambaye kwa sasa ni balozi wa makampuni ya StarTimes barani Afrika akizungumza na watoto mara baada ya  mafunzo ya mpira wa miguu wakati alipotembelea katika kituo cha michezo ya Jakaya Kikwete kilichopo Kidongo Chekundu jijini Dar es salaam.
nw4

No comments:

Post a Comment