TANGA KUMEKUCHA
Saturday, April 9, 2016
SHULE YA SONI DAY YA LUSHOTO YATEKETEA
Kamanda wa polisi Mkoani Tanga, Leonard Poul, akitoa taarifa ya kuunguwa kwa bweni la shule ya Sekondari ya Soni Day Lushoto Tanga juzi usiku na kuunguza vyumba 9 vya kulala wananfunzi ambapo mali zaidi ya shilingi milioni 167 zilizteketea.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment