Wednesday, June 8, 2016
BIASHARA FUTARI
Wafanyabiashara wa vitafunywa nje ya Msikiti wa Ijumaa Tanga, wakiuza futari mbalimbali kwa wafungaji, imekuwa ada kila mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa Waislam wafanyabiashara wanawake wamekuwa wakiandaa futari na kuuza kwa wafungaji.
Wajasiamali wanawake kipindi hiki cha Mwezi Mtkufu wa Ramadhani ndio kipindi pekee cha kufanya biashara zao na kujitangaza zikiwemo za kazi za mikono na mapishi na baada ya mfungo kuisha wanaweza kupata ajira au oda za bidhaa zao kauuza maeneo mengine ndani na nje ya nchi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment