Aliyekuwa daktari
wa klabu ya Chelsea Eva Carneiro, ameafikia makubaliano kuhusu
kutimuliwa kwake kutoka kwa klabu, nje ya mahakama.
Dr Carneiro alikuwa amepinga kutumuliwa kwake na alikuwa amchukulie hatua za kisheria meneja wa zamani Jose Mourinho. Siku ya Jumatatu ilibainika kuwa Chelsea ilikuwa
imempa Dr Carneiro pauni milioni 1.2 kusuluhisha swala hilo jambo ambalo
alilikataa.
Chelsea imesema kuwa inajutia kisa kilichosababisha daktari wake wa kwanza kuhama klabu hiyo.
No comments:
Post a Comment