Msafara wa Mazishi ya Bondia Mkongwe Muhammad Ali
Maelfu wamejipanga barabarani ili kumuaga bondia Maarufu Muhammad Ali
wakati msafara ukipita kuelekea mji wa kwao Louisville, Kentucky ambapo
leo June 10 2016 anatarajiwa kuzikwa huko.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.Safari ya mwisho ya Bondia maarufu Duniani, Mohammed Ali
.
.Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment