Wakazi wa Tanga wakiangalia vichwa
vya habari vya magazeti baada ya magazeti yote kuandika kurasa za mbele tukio
la mauaji la watu nane waliochinjwa kijiji cha Kibatini kata ya Mzizima Amboni
Tanga tukio lililofanywa na watu wanaoaminika kuwa majambazi usiku wa Jumatatu.
Kufuatia mauaji hayo wakazi wa kijiji hicho wamelezimika kuyahama makazi yao kwa kile walichodhani wauaji wanaweza kurejea tena.
Zoezi la kuhama zizifanyika toka asubuhi na kuezua mati na miti pamoja na kusomba vitanda na nguo na thamani zote za ndani.
No comments:
Post a Comment