Waliougua saratani ya matiti kutibiwa miaka 10
Visa vingi vya saratani ya matati husababishwa na homoni za kike zinazofahamika kama 'Oestrogen' na dawa za kuzia homoni hizo hutumia sana..
Watafiti hao wanasema matokeo ya utafiti huo huenda yakabadili matibabu kwa mamilioni ya wanawake.
Watafiti hao pia wameonya kuwa dawa za kuzuia homoni hiyo zinaathari kubwa kama kuvunjika kwa mifupa na kukosa hamu ya kujamiana.
BBC
No comments:
Post a Comment