Video yawatia mashakani wanafunzi waliokalia mtihani India
Kanda ya Video ya mahojiani hayo na yale ya wengine ilisambazwa sana.Mwaka uliopita ,wazazi wa wanafunzi katika jimbo hilo walipigwa picha wakipanda kuta za shule ili kutoa majibu kwa wanafunzi wanaokalia mtihani.
Serikali ya jimbo hilo ilikuwa imetangaza hatua kali kama vile faini na vifungo jela kwa lengo la kuangamiza uovu huo mwaka uliopita.
Alama za chini zilizopatikana katika matokeo yaliotangazwa wiki iliopita zilichukuliwa kama ishara kwamba hatua zilizochukuliwa zimefanikiwa.
BBC
No comments:
Post a Comment