Saturday, April 2, 2016

AFRICAN SPORTS KUPEPETANA KESHO



Kocha wa muda wa timu ya African Sports ya Tanga, Seif Bausi, akiwapa mbinu wachezaji wake wakati wa mazoezi uwanja wa mpira wa Mkwakwani kujiandaa na mchezo na JKT Ruvu kesho kutwa.





No comments:

Post a Comment